Door-to-door Sales at MnadaSpesho
Job Role Insights
-
Date posted
2024-10-17
-
Closing date
2024-10-17
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Fresher
-
Qualification
Certificate
-
Experience
1 - 2 Years
-
Gender
both
Job Description
MnadaSpesho Auction Mart, Kampuni inayojihusisha na mnada wa bidhaa mbalimbali za kielekroniki kwa njia ya mtandao kupitia website yake ya mnadaspesho, inatafuta watu wa sales/ mabalozi kwa ajili ya kutafuta wateja sehemu mbalimbali kwa ajili ya kujisajili kwenye website yao
VIGEZO
Mwombaji awe na Smart phone
Mwombaji awe na kitambulisho cha NIDA
Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa
Awe ni mchapakazi
Awe na uwezo wa kuhamasisha na kufanya sales door to door
MALIPO
Malipo ni kwa commission
ELIMU
Elimu kuanzia Form 4 na kuendelea
Skills
Interested in this job?
0 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job