POST: NAHODHA DARAJA LA II (SKIPPER II) – 1 POST

Job Role Insights

  • Date posted

    2025-04-28

  • Closing date

    2025-05-12

  • Hiring location

    Tanzania

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Diploma

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

Job Description

POST: NAHODHA DARAJA LA II (SKIPPER II) - 1 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:: 2025-04-28 2025-05-11

JOB SUMMARY: NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kubuni na kuunda zana za kuvulia samaki (Fishing Gears)
  • Kutunza na kutengeneza zana za kuvulia samaki
  • Kuongoza na kuendesha meli/boti ndogo za futi 40 zenye uzito wa kuandikishwa wa tani 50-200 (GRT)
  • na iv.Kuendesha shughuli za uvuvi katika meli/boti.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye Stashahada (Diploma)  ya Unahodha na Uvuvi ( Master Fisherman) kutoka Chuo cha Uvuvi Mbegani au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. 

REMUNERATION: TGS.C

Interested in this job?

14 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

Apply now
Send message
Cancel