
POST: MSAIDIZI WA AFYA (HEALTH ASSISTANT) – 50 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-03-28
-
Closing date
2025-04-07
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate Secondary Education
-
Experience
1 - 2 Years 3 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
Job Description
POST: MSAIDIZI WA AFYA (HEALTH ASSISTANT) - 50 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-03-27 2025-04-07
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kuchukua Sampuli za Maji na Chakula na kuzipeleka kwa afisa afya mazingira au afisa afya mazingira msaidizi
- Kutambua na kuweka kumbukumbu ya vyanzo vya maji
- Kuandaa ramani ya maeneo yenye uchafuzi wa maji ili kuchukua hatua zinazotakiwa
- Kushirikiana na kamatiza majiza vijiji, na mitaa katika kuhakikishausalama wa vyanzo vya maji
- Kuhamasisha jamii kulinda vyanzo vya maji
- Kuhamasisha jamii kujengana kutumia vyoo bora
- Kusaidia kuuelimisha jamii kuhusu tabia njema za usaf
- Kutoa taarifa za milipuko ya magonjwa kwa mkuu wake kazi
- Kuhamasisha jamii kubuni, kupanga, kutekeleza na kusimamia mipango shirikishi jamii ya afya ya mazingira.
- Kufanya ukaguzi wa nyumba kwa nyumba
- Kufanya ukaguzi wa nyumba za kuishi na biashara
- Udhibiti wa taka hatari zikiwamo taka zitokanazo na huduma za afya
- Kusimamia sheria ndogo ndogo za afya mazingira na
- Kufanya kazi nyingine atakazo pangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne wenye cheti cha mafunzo ya Msaidizi wa Afya kutoka chuo kinacho tambuliwana Serikali
REMUNERATION: TGHS A
Interested in this job?
6 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job