POST: MHANDISI MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIROMENTAL ENGINEER II) – 1 POST

Job Role Insights

  • Date posted

    2025-03-28

  • Closing date

    2025-04-07

  • Hiring location

    Tanzania

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree

  • Experience

    1 - 2 Years 3 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

Job Description

POST: MHANDISI MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIROMENTAL ENGINEER II) - 1 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:: 2025-03-27 2025-04-07

JOB SUMMARY: N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kutoa ushauri wa namna ya kulinda mazingira kutokana na shughuli za Binadamu kama Kilimo, uvuvi, ufugaji nk
  • Kufanya Tathiminiya Mazingira(EnvironmentalImpactAssesment)kwamiradi inayoanzishwa hasa ya Umwagiliaji na Uwekezaji katika Kilimo.
  • iii.Kutoa ushauri wa namna ya kupunguza uharibifu wa Udongo utokanao na kemikali za madawa ya Kilimo, Pembejeo za Kilimo au Kemikali zingine za Viwandani zihusianazo na kilimo.
  • Kubuni vifaa na mikakati ya kuhakikisha kuwa maji taka na uchafu utokanao na kemikali zitokazo na Kilimo haziathiri Mazingira.
  • Kubuni mikakati itakayohakikisha kuwa Binadamu anaishi katika mazingira yenye Afya na Rafiki kimazingira.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye Stashahada ya juu au Shahada ya Uhandisi Mazingira kutoka Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali. Muombaji ni lazima awe amesajiliwa na Bodi ya Usajili Wahandisi (ERB).

REMUNERATION: TGS.E

Interested in this job?

7 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

Apply now
Send message
Cancel