
POST: DAKTARI BINGWA DARAJA II – (OBSETRIST & GYNAEOCOLGY II) – 6 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-03-06
-
Closing date
2025-03-19
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree Doctorate (Ph.D.) Master’s Degree
-
Experience
1 - 2 Years 3 - 5 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
Job Description
POST: DAKTARI BINGWA DARAJA II (OBSETRIST & GYNAEOCOLGY II)- - 6 POST
EMPLOYER: Wizara ya Afya
APPLICATION TIMELINE:: 2025-03-06 2025-03-19
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika. ii.Kupanga, kusimamia na kutathimini huduma katika wilaya au mikoa iii.Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi iv.Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa v.Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya. vi.Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake vii.Kusimamia wafanyakazi walio chini yake viii.Kubuni, kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo ix.Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake x.Kutoa huduma za outreach katika kanda xi.Kutoa huduma za medical legal xii.Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya xiii.Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini. xiv.Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya. xv.Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya. xvi.Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya xvii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye shahada ya uzamili ya Udaktari Bingwa katika fani ya Obsetristy /Ggynaeocolgy (M.Med au PhD kwenye fani ya Udaktari) ya miaka mitatu au zaidi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
REMUNERATION: TGHS G
Interested in this job?
10 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job