Loan Officers at Dream Big Microfinance
Job Role Insights
-
Date posted
2025-01-10
-
Closing date
2025-02-04
-
Hiring location
Arusha
-
Offered salary
Max:TZS 300,000/month
-
Career level
Senior
-
Qualification
Diploma
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
female
Job Description
Dream Big Microfinance (T) Limited ilisajiliwa mnamo tarehe 8th April, 2018 na msajili wa makampuni na kupata namba ya usajili 125317.
Dream Big Microfinance (T) Limited inajishughulisha na utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo Tanzania Bara kwa ajili ya kukuza mitaji ya kuendeleza biashara zao. Imepata kibali namba MSP2-0319 kutoka Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuendesha biashara ya kutoa mikopo midogo ikifuata sheria ya Microfinance ya mwaka 2018 pamoja na kanuni zake za mwaka 2019.
Ofisi za Dream Big Microfinance (T) Limited zipo katika jengo la Condo Investment, ghorofa ya kwanza, chumba namba 110, Kata ya Kaloleni, Manispaa ya Arusha.
Dream Big Microfinance (T) Limited inatangaza nafasi 15 za kazi ya maafisa mikopo wanawake wenye vigezo vifuatavyo:
ELIMU: Aliyemaliza kidato cha nne mpaka Stashahada (Diploma) kuanzia mwaka 2022 kurudi nyuma.
UMRI: Kuanzia miaka 25 mpaka miaka 35.
MUHIMU: Awe ni mwenyeji anayejua maeneo/mitaa ya Jiji la Arusha na vitongoji vyake.
Skills
Interested in this job?
14 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job