Overview

Kasuke beauty saloon ni saluni ya kike inayojihusisha na kusuka nywele za aina zote, kuchana na kubana nywele style zote, kufanya make up, scrub ya uso, kubandika kope, pedicure na manicure.

Tunapatikana Goba center, Dar es salaam.  Kwa huduma na maelezo zaidi, piga namba : +255676566879