Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) kwa mwaka 2024 to 2025 yanatarajiwa kutangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) mwishoni mwa mwezi Januari au mapema mwezi Februari 2025.
Tarehe ya Kutoka Matokeo ya Kidato cha Nne
The results for the 2024-2025 Form Four Examination (CSEE) are expected to be announced by the National Examinations Council of Tanzania (NECTA) at the end of January or early February 2025.
Njia za kuangalia Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE)
Kuna njia kuu rasmi tatu za kuangalia Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) njia hizo ni kama ifuatavyo:
Mtandao wa NECTA:
- Tembelea tovuti rasmi ya NECTA: www.necta.go.tz.
- Nenda kwenye sehemu ya "Matokeo".
- Chagua "Matokeo ya CSEE".
- Chagua mwaka 2024.
- Tafuta jina la shule yako kisha namba yako ya mtihani ili kupata matokeo yako.
Huduma ya SMS:
- Fungua programu ya ujumbe kwenye simu yako.
- Andika ujumbe kwa kuandika "CSEE" kisha namba yako ya mtihani (mfano: CSEE S1234/5678/2024).
- Tuma ujumbe kwa namba maalum ya NECTA (ambayo itatangazwa kabla ya kutolewa kwa matokeo).
- Utapokea matokeo yako ndani ya dakika chache.
Bango la Shule:
- Shule nyingi hupokea nakala rasmi za matokeo.
- Tembelea shule yako ili kuangalia matokeo yako kwenye bango la shule.
Kupitia Zoom Tanzania
- Tembelea ukurasa huu wa Matokeo ya kidato cha nne 2024 to 2025 kuweza kusoma matokeo kwa mwaka huu wa masomo.
Kumbuka kuwa matokeo yatatolewa kwa mfumo wa madaraja (division), kuanzia Division I (ya juu zaidi) hadi Division IV, pamoja na Division 0, ambayo inaashiria kufeli.
Kwa hivyo, hakikisha unajiandaa kwa kutathmini matokeo yako na kupanga hatua zinazofuata kulingana na ufaulu wako.