Press Zoom Tanzania Yazindua App ya Watafutaji Ajira Zoom Tanzania, inafurahi kutangaza kuzinduliwa kwa programu yake mpya ya simu ya mkononi kwa ajili ya watafuta kazi.