Door-to-door Sales at MnadaSpesho

Job Role Insights

  • Date posted

    2024-10-17

  • Closing date

    2024-10-17

  • Hiring location

    Tanzania

  • Career level

    Fresher

  • Qualification

    Certificate

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Gender

    both

Job Description

MnadaSpesho Auction Mart, Kampuni inayojihusisha na mnada wa bidhaa mbalimbali za kielekroniki kwa njia ya mtandao kupitia website yake ya mnadaspesho,  inatafuta watu  wa sales/ mabalozi  kwa ajili ya kutafuta wateja sehemu mbalimbali kwa ajili ya kujisajili kwenye website yao 

VIGEZO

Mwombaji awe na Smart phone 

Mwombaji awe na kitambulisho cha NIDA

Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa

Awe ni mchapakazi

Awe na uwezo wa kuhamasisha na kufanya sales door to door

MALIPO

Malipo ni kwa commission 

ELIMU

Elimu kuanzia Form 4 na kuendelea 

Interested in this job?

0 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

Send Your Application to [email protected]

Apply now
Whatsapp-color Created with Sketch. Job Alert
Subscribe to receive instant alerts of new relevant jobs directly to your WhatsApp.
Subcrible